Isaac Mwaura Asema Uungwaji Mkono wa William Ruto Mlima Kenya Bado Ni Imara: “Watu Watashangaa”
Isaac Mwaura Asema Uungwaji Mkono wa William Ruto Kadri joto la kisiasa linavyozidi kupanda kuelekea Uchaguzi Mkuu wa 2027, swali kuu linaendelea kuulizwa: Je, Rais William Ruto bado ana uungwaji mkono thabiti katika eneo la Mlima Kenya? Msemaji wa Serikali, Isaac Mwaura, amepuuzilia mbali madai kuwa ushawishi wa Ruto umelegea, akisisitiza kuwa “Mlima Kenya bado … Read more