Ikulu Yageuka “Hekalu la Mapocho Pocho”: Je, Ni Uongozi wa Watu au Ulaji wa Kisiasa?
Je, Ni Uongozi wa Watu au Ulaji wa Kisiasa? Ikulu ya Kenya imekuwa kitovu cha maamuzi ya kitaifa, lakini katika siku za karibuni, mjadala mkubwa umeibuka: je, Ikulu Nairobi imegeuka hekalu la kisiasa la mapocho pocho?Rais William Ruto amekuwa akifungua milango ya Ikulu kwa makundi mbalimbali—kuanzia viongozi wa dini, vijana, wanawake, wasanii, hadi viongozi wa … Read more