Kitui: Mama Alia kwa Furaha Baada ya Kukutana na Bintiye, 18, Aliyemtelekeza Akiwa na Miezi 6
Kitui Ni nadra kupata simulizi za kifamilia zinazogusa mioyo kama hii kutoka Kaumba, Mulango, Kitui ya Kati. Baada ya zaidi ya miaka 18 ya kutengana, mama mmoja alikutana tena na bintiye, aliyemwacha akiwa na miezi sita tu. Tukio hili lilinaswa kwenye video ya virusi mitandaoni, likiwaacha Wakenya wengi wakitokwa na machozi ya furaha. Kwa wasomaji … Read more