Buru Buru: Basi la Embassava Lihusika Katika Ajali ya Barabara ya Jogoo, Kondakta Aaga Dunia
Basi la Embassava Ajali mbaya ya barabarani imetokea kando ya Barabara ya Jogoo karibu na Buru Buru, ikihusisha basi la Embassava Sacco lililokuwa limebeba abiria kuelekea Nairobi Central Business District (CBD). Katika ajali hiyo, kondakta wa basi alifariki papo hapo, huku abiria kadhaa wakikimbizwa hospitali zilizo karibu wakiwa na majeraha. Tukio hilo limechochea mjadala upya … Read more