Mambo 10 ya Kufanya Ikitokea Mpenzi Wako Kachepuka – Ushauri wa Kitaalamu wa Kupona na Kuamua Hatua Sahihi
Ushauri wa Kitaalamu wa Kupona na Kuamua Hatua Sahihi Mpenzi msomaji wangu, katika maisha ya kimapenzi hakuna kitu kinachouma kama kusalitiwa. Uchungu huongezeka zaidi pale unapogundua kuwa mpenzi wako kachepuka na kumpa penzi mtu unayemjua, halafu ukijilinganisha na huyo mtu unashindwa kuelewa kilichomshawishi mpenzi wako kufanya hivyo. Licha ya kwamba usaliti katika mahusiano si jambo … Read more