AFCON 2025: Msimamo wa Makundi Wazidi Kuchanganya – Hakuna Kulala! Ona Hapa
Hakuna Kulala! Ona Hapa Michuano ya Kombe la Mataifa ya Afrika 2025 (AFCON 2025) inayoendelea nchini Morocco imeingia katika hatua nyeti. Msimamo wa makundi AFCON 2025 unabadilika kila baada ya dakika 90, na kufanya mashabiki wa soka Afrika kubaki kwenye presha kubwa. Vigogo wameonyesha ubabe, lakini mshangao nao haujakosekana.Faida yako hapa: Utapata jedwali la AFCON … Read more