Nafasi Mpya ya Ajira: Customer Care Wanaohitajika Mara Moja (2025) – Lipia 450,000 Tsh/Mwezi!
Lipia 450,000 Tsh/Mwezi! Unatafuta ajira mpya Tanzania inayopatikana mara moja, isiyohitaji uzoefu mkubwa, na yenye mazingira rafiki ya kazi? Habari njema! Kampuni kubwa ya huduma kwa wateja iliyo na maduka katika malls mbalimbali Dar es Salaam imetangaza nafasi ya Customer Care kwa waombaji wa kike. Kwenye makala haya utapata maelezo kamili kuhusu majukumu, sifa, mshahara, … Read more