Mashabiki Wafurahia! CANAL+ na SuperSport Kutangaza AFCON Morocco 2025 Mubashara — Fahamu Ratiba, Channel na Namna ya Kutazama Kenya
Mashabiki Wafurahia Mashabiki wa soka barani Afrika wako kwenye shamrashamra baada ya CANAL+ na SuperSport kutangaza rasmi kuwa watarusha mubashara michuano ya CAF TotalEnergies AFCON Morocco 2025. Hii ni habari njema kwa mamilioni ya watazamaji, huku wapenzi wa soka wakiweka “countdown” kuelekea moja ya michuano mikubwa zaidi barani Afrika. Tangazo hili limetolewa na CAF pamoja … Read more