SERIKALI ya Kenya Hatarini Kunyimwa Misaada ya Kifedha kwa Kukosa Kujibu Barua Kuhusu Haki za Binadamu
SERIKALI ya Kenya Hatarini Kunyimwa Misaada Kenya sasa inakabiliwa na tishio kubwa la kukatwa misaada ya kifedha na mashirika ya kimataifa kufuatia kukiuka masharti ya haki za binadamu.Hali hii imeibuliwa na Shirika la Kutetea Haki za Binadamu la Umoja wa Mataifa (UNHRDs), baada ya serikali ya Rais William Ruto kushindwa kujibu barua mbili muhimu kuhusu … Read more