Wazanzibari Wapiga Kura ya Mapema Leo, Uchaguzi Mkuu Kufanyika Kesho
Wazanzibari Wapiga Kura ya Mapema Leo Wapiga kura visiwani Zanzibar leo Jumanne wameanza zoezi la kupiga kura ya mapema kuelekea Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025, utakaofanyika kesho Jumatano, Oktoba 29, 2025. Zoezi hilo linafanyika chini ya usimamizi wa Tume ya Uchaguzi Zanzibar (ZEC), likiwa sehemu muhimu ya maandalizi ya uchaguzi mkuu unaotarajiwa kuvuta hisia kubwa … Read more