Ajali ya Treni Mashariki mwa Ethiopia Yaua Watu 14, Wengine 29 Wajeruhiwa
Wengine 29 Wajeruhiwa Mashariki mwa Ethiopia imekumbwa na majonzi baada ya ajali mbaya ya treni iliyotokea usiku wa kuamkia Jumanne na kusababisha vifo vya watu 14 huku wengine 29 wakijeruhiwa, baadhi yao wakiwa katika hali mahututi.Tukio hili limetikisa taifa hilo la Afrika Mashariki lenye idadi ya watu takriban milioni 130, likiwa ni miongoni mwa ajali … Read more