Serikali Yatangaza Nafasi Mpya 17,710 za Kazi kwa MDAs & LGAs — Mwisho wa Maombi Oktoba 29, 2025
Mwisho wa Maombi Oktoba 29, 2025 Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia Ofisi ya Rais – Utumishi wa Umma na Utawala Bora (Public Service Recruitment Secretariat – PSRS) imetangaza jumla ya nafasi 17,710 za kazi mpya katika wizara, idara, taasisi za serikali (MDAs) na halmashauri (LGAs) kote nchini. Tangazo hili limekuja wakati mzuri … Read more