Sudi: Kifo cha Raila Kimeniacha Bila Baba Mzazi
Sudi Kenya imetumbukia katika majonzi makubwa kufuatia kifo cha Raila Odinga, Waziri Mkuu wa zamani na kiongozi wa kisiasa aliyegusa maisha ya mamilioni.Mbunge wa Kapseret, Oscar Sudi, ametoa kauli yenye kugusa mioyo ya Wakenya, akisema “nimepoteza baba mzazi” kufuatia kifo hicho. Katika ujumbe uliojaa hisia, Sudi alisema kifo cha Raila kimeniacha bila baba mzazi, akimuelezea … Read more