Nafasi za Kazi 38 Chuo Kikuu cha Ardhi (ARU) 2025 — Mwisho wa Maombi Oktoba 28
Mwisho wa Maombi Oktoba 28 Unatafuta ajira mpya Tanzania 2025 katika sekta ya elimu ya juu? Hii ni fursa adhimu kwako! Chuo Kikuu cha Ardhi (ARU) kimefungua rasmi nafasi 38 za kazi katika kada mbalimbali za kitaaluma, zikiwemo wahadhiri wasaidizi (Tutorial Assistants), Assistant Lecturers, na Assistant Research Fellows. Kwa wale waliohitimu katika nyanja za uhandisi, … Read more