Mwanadada Grace Tarimo Afichua Changamoto Kubwa Katika Kazi yake ya Masaji – Video
Video Kupitia kipindi cha The Hard Talk kinachoongozwa na mtangazaji, mwandishi wa vitabu na mtumishi wa Mungu, @lillianmwasha_, mwanadada Grace Tarimo amefunguka kwa uchungu kuhusu changamoto kubwa inayomsumbua maishani. Grace, anayejishughulisha na kazi ya masaji kwenye saluni, ameeleza kwamba tatizo lake binafsi limekuwa likimfuata tangu akiwa darasa la tano—na sasa limezidi kuathiri maisha na kazi … Read more