Mshangao Mkubwa Baada ya Binti wa Rais Paul Biya Kuwataka Raia Wasimpigie Kura
Mshangao Mkubwa Katika siasa za Afrika, upinzani mara nyingi hutoka kwa vyama pinzani, wanaharakati, au sauti za kimataifa. Ni nadra sana kuja kutoka ndani ya familia ya kiongozi aliye madarakani. Lakini ndicho kilichotikisa siasa za Cameroon, baada ya Brenda Biya, binti ya Rais Paul Biya, kuchapisha video ya TikTok iliyosambaa kwa kasi, akiwataka raia wasimpigie … Read more